Tujue zaidi E-media ni nani?
E-Media Online Radio ni radio ya mtandaoni inayolenga kukuletea burudani, habari na elimu kwa wakati, moja kwa moja kupitia intaneti. Tupo kwa ajili ya kuunganisha jamii kupitia sauti, muziki na mijadala yenye tija.
Malengo Yetu
- Kutoa habari sahihi na kwa haraka.
       - Kukuza vipaji vya muziki na sanaa.
       - Kutoa elimu juu ya biashara, teknolojia na jamii.
       - Kuburudisha wasikilizaji wetu kupitia vipindi na muziki bora.
Tunachofanya
Tunatangaza vipindi vya moja kwa moja, muziki wa aina mbalimbali, matangazo ya biashara, na pia tunashirikiana na wasanii na wadau ili kukuza tasnia ya habari na burudani nchini.
Maono Yetu
Kuwa kinara wa redio za mtandaoni barani Afrika, kwa kutoa huduma bora, ubunifu na maudhui yenye thamani kwa kila msikilizaji wetu, huku tukikuza sanaa, elimu na maendeleo ya jamii.
0 Comments