Matangazo - E-MEDIA Online Radio

E-MEDIA Online Radio

Huduma za Matangazo

Matangazo (Advertise With Us)

Tunatoa fursa ya biashara na watu binafsi kutangaza kupitia E-MEDIA Online Radio. Chagua kifurushi kinachokufaa:

Huduma Maelezo Bei (TZS)
Spot 30 sec Tangazo dogo ndani ya kipindi 10,000
Spot 60 sec Tangazo la dakika moja 15,000
Shout out Mention ya biashara au salamu 5,000
Habari & Matangazo (Sponsor) Kipindi cha 18:00-18:30 50,000 kwa wiki / 150,000 kwa mwezi
Edu & Talk Show (Sponsor) Kipindi cha 19:00-19:45 70,000 kwa wiki / 200,000 kwa mwezi
Entertainment Mix (Sponsor) Kipindi cha 19:45-20:30 60,000 kwa wiki / 180,000 kwa mwezi
Airplay ya wimbo Nyimbo mara 2 ndani ya show 20,000
Interview + Airplay Mahojiano ya wasanii + nyimbo 50,000
Event Coverage Streaming ya event moja Kuanzia 150,000
Brand Mention Daily Mention ya biashara kila siku 100,000 kwa mwezi
Note: Bei zinaweza kubadilika kulingana na makubaliano. Kwa matangazo maalum, tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi kwa Matangazo

© 2025 E-MEDIA Online Radio | Home